commented: Nimeikubali kwa mikono miwili ur project ma Bro!!! coz target yako naona ni kuwainua wasanii wa Iringa na kuwajengea mshikamano pia kuutambua uwezo wao na tofauti zao, kwa mtindo huo naamini wasanii wa Iringa watatambulika kwa urahisi xana bro, but kuna baadhi ya wengine weg cjawackia kama Thirty one, Mgc na wenginewe. usikate tamaa bro coz najua wapo watakaokukatisha tamaa lkn wwe angalia target yako ni nn. Pamoja xana bro tay C.