Dear User, we noticed you are using an AdBlocker.
If you would like to continue enjoying the Hulkshare platform, please disable your AdBlocker.
Refresh Page Here
Joseph Kabila, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zamani Zaire akiongea na Wananchi wa Mashariki ya nchi hiyo iliyowashinda waasi wa M23 hivi karibuni, alikuwa akizungumza kwa kiswahili safi utadhani ni Mtanzania vile.