Dear User, we noticed you are using an AdBlocker.
If you would like to continue enjoying the Hulkshare platform, please disable your AdBlocker.
Refresh Page Here
Hii ngoma nimefuata mkono wa Kisaka katika ngoma ya Mola Nisamehe. Kulingana na kilichofanywa mule, nimependa na kuirudia tena katika fomu ya kigumu kidogo. Shukrani kwa Emotion Records.