Denis Love ni moja wa member wa The Empire Family, kundi linaloundwa na Young rafa, Shebo, solace Sanya na RealBudah. Sauti yake ya pekee ndiyo inayompa heshima kubwa na mvuto kwa wapenzi wa muziki hasa akina dada. NENO gani ni wimbo unaoelezea hisia za