mama afrika ni ngoma ambayo imeandikwa na kughaniwa kwa hisia zote kwa lengo kumtukuza na kuitangaza thamani yake inayoonekana kupotea....!! na pia kama mama yako ametoweka duniani basi endelea kukua na kuheshimu thamani yake kwa kuyatenda yale aliyokuwa