Ni muziki ulioimbwa na magwiji mbalimbali wa muziki wa kufoka (Hip Hop) nchini Tanzania, umeimbwa maalum kama sehemu ya harakati za wasanii kupigania kutambuliwa kwenye katiba ya nchi kama mojawapo ya kundi muhimu kwenye jamii, kama ambavyo yametambu