commented: Shalom Timbulo,kwanza hongera kwa utunzi wa nyimbo zako ambao kulingana na umri wako wastahili pongezi,ila kama ukiamua kutoa single,hakikisha ipo juu kuliko ile ya kwanza ambayo ilikutambulisha katika tasnia ya muziki,kwa maoni yangu,single ya domo langu zito ni kali kuliko hii ya samson na delila,so tafuta mshauri kwanza kabla ya kutoa nyimbo,usikurupe ili mradi uwe na albamu,tulia,tafakari na utunge haswa,tunakupenda hudumu katika muziki kwa muda mrefu kijana.