NEW RELEASE - KIPAJI CHA UKWELI,
Rhymes ni Msanii anayechipukia kwenye Muziki wa BONGO FLAVOUR Tanzania.
Pamoja na aina nyingine za Muziki anazofanya, pia huimba style yenye mchanganyiko wa style nyingi kama vile RnB, Rock, Pop, Afro, Zouk, n.k