Materio ni Msanii anayechipukia kwenye Muziki wa BONGO FLAVOUR Tanzania. Pamoja na aina nyingine za Muziki anazofanya, pia huimba style yenye mchanganyiko wa style nyingi inayofahamika kama AFRO HIP HOP. Huu ni wimbo wake wa kwanza unaofahamika kama MAGIC