commented: acheni mbovu wabongo DIAMOND NEXT LEVEL nyie wote ni wale wote mnao tumwa nawasiopenda maendeleo keep it up braaaaa diamond watoe hata wadada
commented: kiukweli penye sifa pasifiwe,msilete mabifu yasio kuwa na mpango,hongera kwako Diva na diamond coz ngoma imesimama,mashair yame2lia,mziki ndo usiseme..,zile sauti pale kati daaah haibu,mmetisha sana,big up