Dear User, we noticed you are using an AdBlocker.
If you would like to continue enjoying the Hulkshare platform, please disable your AdBlocker.
Refresh Page Here
Msichana Pendo ameamua kutomtegemea mtu yeyote katika maisha yake. Ameamua kujikita kwenye kilimo cha magunia ili aweze kulipa ada ya shule na kumtunza mdogo wake Eddo. Story zaidi inapatikana kwenye chapta 1 ya kijarida cha SHUJAAZ