BATIMAYO ni wimbo wa dini kutoka *MHUBIRI ADVENTISTS CHOIR* (Kwaya ya kanisa la Waadventista Wasabato - Busegwe sekondari) mtunzi ni Mwl. Dickson Mukama wenye maudhui ya kumtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji. Waimbaji : *Sauti ya kwanza* - IRENE SAMWEL, F