Msanii DAT amekuja na staili ya muziki inayoitwa “Taula Style” kupitia dhima ya kazi yake ya sanaa inayoitwa “Taula Tamaduni” ambapo anamaanisha kubadilishana utamaduni. Msanii huyo anayetokea Mkoani Kagera anatambulisha wimbo wake unaoitwa “EKIGAMBO