About me: Mziki ndio kipaji changu nilichokuwa nacho tangu nilipokuwa mdogo ili sikuwa...Mziki ndio kipaji changu nilichokuwa nacho tangu nilipokuwa mdogo ili sikuwa nazingatia sana,ikiwa wazazi wangu walipenda mimi nisome niachane na mziki,nilijihiba kujiongeza kimziki bila wazazi wangu kujua na ata watu wengine niliwaficha.........!More ยป