Msanii wa muziki NEDY MUSIC ambaye ameweza kupata mafanikio makubwa kupitia wimbo wake wa USIENDE MBALI Alio mshirikisha Bosi wake Ommy Dimpoz ameelezea harakati za muziki pamoja na wapi anajiona miaka ijayo mbele.
NEDY MUSIC amezungumza mengi kuhus