Dear User, we noticed you are using an AdBlocker.
If you would like to continue enjoying the Hulkshare platform, please disable your AdBlocker.
Refresh Page Here
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina ambaye pia ni Mjumbe CCM wa Kamati ya Siasa mkoani humo amebeza wanasiasa waongo na wenye kuwahadaa wananchi na wakiwachonganisha na viongozi wa serikali.