Dear User, we noticed you are using an AdBlocker.
If you would like to continue enjoying the Hulkshare platform, please disable your AdBlocker.
Refresh Page Here
Watanzania wametakiwa kushirikiana na vyombo vya usalama katika kutoa taarifa kuhusu matukio ya kihalifu na yanayohatarisha amani ya nchi ili kuendelea kuiweka nchi katika hali ya usalama na amani.