mwezi ujao nitaachia ngoma yangu mpya niliyofanya na fid q inayoitwa ushauri nasaha,bt leo kwavile ni siku yangu ya kuzaliwa nimeaamua kuwapa zawadi mashabiki wangu kwa kutoa version namba 2 ya mwanza mwanza ambayo inaitwa moro moro special kwa ajili ya b