Mimi naitwa chacha wamara msanii mpya kwenye industry ya muziki wa kizazi kipya huu wimbo wangu wa sugar ni wa kwanza kuutoa pia ni wa kwanza kurekodi,nimeurekodi studio ya mwendo records chini ya producer mas classic,hivyo watanzania naombeni mnipokee kw