reubenmchome - Free Online Music

reubenmchome

Tanzania, United Republic Of

1 0
Blogger
  • 10 years ago
    reubenmchome
    reubenmchome
    reubenmchome Tanzania, United Republic Of
    1 0
    commented on his track: Siku zote inasemekana binadamu akikaribia kuondoka duniani anajua ila uwezo wa kusema kwamba nakufa na kuwaaga watu uwezo huo wamepewa watu wachache sana...hembu msikilize NGWAI alivyotamani kusema au kuaga lakini akashindwa akaaga kwa njia ya wimbo huu hapa....Binadamu tunazaliwa na tena tunadanja ,kila mmoja atafukiwa kifo hakina ujanja,wewe ulikua kama rafiki .......najua mnajua kusahau sio rahisi,wote tunapita ipo siku mtanimiss,kama nikiondoka leo au kesho isiwe tabu,tunakula kwa jasho ila kifo hakina adabu,nitammiss dad,nitammiss mama, nitaimiss east zoo,nitaimiss dodoma,nitaimiss k,nyama,nitaimiss Dar es salama,nitaimiss kinondoni na nitawamiss wanyalu,Binadamu tunakuja tunapita,hata nikiondoka mimi ipo siku mtanifuata...pumzi hupotea kama upepo leo tunapumua ila kesho haitokuwepo Verse ya kwanza.
    By
    reubenmchome
    reubenmchome
    reubenmchome Tanzania, United Republic Of
    1 0
    uploaded 10 years ago
    192 kbps 2274 1 0 199
    0 comments at 0:00
    close
    You must be logged in to comment
  • 10 years ago
    reubenmchome
    reubenmchome
    reubenmchome Tanzania, United Republic Of
    1 0
    uploaded a new track: OPEN LETTER-NGWAIR
    By
    reubenmchome
    reubenmchome
    reubenmchome Tanzania, United Republic Of
    1 0
    uploaded 10 years ago
    192 kbps 2274 1 0 199
    0 comments at 0:00
    close
    You must be logged in to comment