Dear User, we noticed you are using an AdBlocker.
If you would like to continue enjoying the Hulkshare platform, please disable your AdBlocker.
Refresh Page Here
Membar Skay ni Msanii anayechipukia kwenye Muziki Tanzania. pamoja na aina nyingine za Muziki anazofanya, pia huimba style yenye mchanganyiko wa style nyingi inayofahamika kama BONGO FLAVOUR. Huu ni wimbo wake wa kwanza unaofahamika kama MY JOJOO.