Hii ndiyo ile ngoma ambayo imewakutanisha tena wasanii wote wa Tanzania kwenye ngoma iliyo beba jina la Muungano. Ngoma hii ilipatwa kusikika mara ya kwanza kwenye siku ya maazimisho ya miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Unguja na Pemba) 25th