Chalii naharibu kila show
Mzuka high , ni ushindi hakuna droo
Chalii naharibu kila show
Mzuka high , ni ushindi hakuna droo
Nakimbiza hii mitaa, Game over
Nakimbiza hii mitaa Game over
Nakimbiza hii mitaa ,Game over
Ni ushindi hakuna droo,naharibu